MADHARA YA KUTUMIA VIDONGE VYA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME (VIAGRA/VEGA)
JINSI VINAVYOFANYA KAZI
Viagra haimfanyi mtu kupata hamu ya ngono bali yenyewe hufanya kazi endapo tu mtu atakuwa na hamu ya kufanya ngono. Hebu tugusie kidogo kuhusu uume unavyoweza kusimama.
Pindi mwanaume anapopata hamu ya kufanya ngono, mishipa ya fahamu iliyoko katika misuli ya uume hutoa chemicals zinazoitwa "nitric oxide" ambayo huamrisha viamshi(enzymes) kuzalisha chemicals nyingine tena zinazoitwa "messenger cyclic guanoside monophosphate". Hali hii huifanya misuli laini ya uume kujiachia na kutanuka ambapo matokeo yake huiruhusu damu kuingia na kujaa vizuri katika mishipa midogomidogo iliyoko katika uume(cappilaries), hapo ndipo uume unakuwa umesimama vizuri.
Hivyo basi, Viagra hufanya kazi ya kusawazisha kiwango cha hii kemikali inayoitwa Cyclic guanosine Monophosphate.
SASA TUONE MADHARA YA VIDONGE HIVYO
Kwa mara ya kwanza dawa hii ilitumika kutibu tatizo la Presha, lakini ilionyesha maajabu pale ilipooneka kuwafanya wagonjwa kuwa na nguvu nyingi za kusimamisha maumbile yao ya uzazi. Baada ya hapo zikazuiliwa kutumika hospitalini lakini baadae zikafanyiwa uchunguzi na zikaanza rasmi kutumika kwa wanaume wenye matatizo ya kusimamisha. Kipindi hicho watu wenye matatizo ya kusimamisha walikuwa wakipewa dawa hii chini ya uangalizi wa Daktari huku wakipewa ushauri wa kutosha kwamba wataweza kusimamisha na hivyo Saikolojia hiyo ikawakaa na wakasimamisha, lakini baada ya muda fulani, mgonjwa wa tatizo hurudi katika hali yake ya kutosimamisha.
MADHARA
=>Mtu anayetumia vidonge hivi bila ushauri wa Daktari huku akiwa na matatizo mengine ya Kiafya kama Presha yuko hatarini kupoteza uhai wake.
=>Matumizi makubwa ya dawa hizi hufanya tatizo kuwa kubwa zaidi kwa sababu dawa hizi humfanya mtu kusimamisha kwa muda tu kwani akihitaji kufanya mapenzi siku nyingine inampasa ameze tena. Hali hii ya kuzimeza kila wakakati inamfanya kuwa dependant(tegemezi) na kumfanya azidi kuongeza dozi zingine na mwiso wa siku hutengeneza sumu mwilini na kuua kabisa nguvu za kiume.
=>Madhara mengine ni kupoteza uwezo wa kusikia(ukiziwi) pamoja na kupoteza uwezo wa kuona.
Hivi ni vidonge vinavyotumiwa sana na miongoni mwa wanaume au vijana wengi kwa lengo la kuongeza uwezo wao wa kufanya tendo la ndoa. Dawa hizi hutumiwa zaidi na wanaume wasioweza kusimamisha uume vizuri(low libido) kwa lengo la kumuwezesha kukidhi haja zake au za mwenza wake wa kike. Lakini pia zimekuwa zikitumiwa na vijana wengi kwa lengo la kumkomoa mwanamke au wengine hufanya kwa kuiga kutoka kwa waigizaji video za ngono(pornograph). Madhara ya vidonge hivi ni mengi, leo tutayajua
JINSI VINAVYOFANYA KAZI
Viagra haimfanyi mtu kupata hamu ya ngono bali yenyewe hufanya kazi endapo tu mtu atakuwa na hamu ya kufanya ngono. Hebu tugusie kidogo kuhusu uume unavyoweza kusimama.
Pindi mwanaume anapopata hamu ya kufanya ngono, mishipa ya fahamu iliyoko katika misuli ya uume hutoa chemicals zinazoitwa "nitric oxide" ambayo huamrisha viamshi(enzymes) kuzalisha chemicals nyingine tena zinazoitwa "messenger cyclic guanoside monophosphate". Hali hii huifanya misuli laini ya uume kujiachia na kutanuka ambapo matokeo yake huiruhusu damu kuingia na kujaa vizuri katika mishipa midogomidogo iliyoko katika uume(cappilaries), hapo ndipo uume unakuwa umesimama vizuri.
Hivyo basi, Viagra hufanya kazi ya kusawazisha kiwango cha hii kemikali inayoitwa Cyclic guanosine Monophosphate.
SASA TUONE MADHARA YA VIDONGE HIVYO
Kwa mara ya kwanza dawa hii ilitumika kutibu tatizo la Presha, lakini ilionyesha maajabu pale ilipooneka kuwafanya wagonjwa kuwa na nguvu nyingi za kusimamisha maumbile yao ya uzazi. Baada ya hapo zikazuiliwa kutumika hospitalini lakini baadae zikafanyiwa uchunguzi na zikaanza rasmi kutumika kwa wanaume wenye matatizo ya kusimamisha. Kipindi hicho watu wenye matatizo ya kusimamisha walikuwa wakipewa dawa hii chini ya uangalizi wa Daktari huku wakipewa ushauri wa kutosha kwamba wataweza kusimamisha na hivyo Saikolojia hiyo ikawakaa na wakasimamisha, lakini baada ya muda fulani, mgonjwa wa tatizo hurudi katika hali yake ya kutosimamisha.
MADHARA
=>Mtu anayetumia vidonge hivi bila ushauri wa Daktari huku akiwa na matatizo mengine ya Kiafya kama Presha yuko hatarini kupoteza uhai wake.
=>Matumizi makubwa ya dawa hizi hufanya tatizo kuwa kubwa zaidi kwa sababu dawa hizi humfanya mtu kusimamisha kwa muda tu kwani akihitaji kufanya mapenzi siku nyingine inampasa ameze tena. Hali hii ya kuzimeza kila wakakati inamfanya kuwa dependant(tegemezi) na kumfanya azidi kuongeza dozi zingine na mwiso wa siku hutengeneza sumu mwilini na kuua kabisa nguvu za kiume.
=>Madhara mengine ni kupoteza uwezo wa kusikia(ukiziwi) pamoja na kupoteza uwezo wa kuona.
NB: NI VEMA KUFUATA USHAURI WA DAKTARI AU MTAALAMU WA MASWALA YA KEMIKALI VISHAWISHI (HORMONE) KABLA YA KUTUMIA DAWA HIZO