ugonjwa uliomuua mama mwakyembe dalili sababu na jinsi ya kuuepuka


ugonjwa uliompoteza mama yetu Mwakyembe Ni ugonjwa wa kansa ya ziwa.kwa mujibu wa msemaji wa familia bwana Kivuyo.sasa nimependa nikuletee kitu kidogo kuhusu ugonjwa huu Leo hii.
kansa ya ziwa Ni saratani Kama saratani nyinginezo ila utofauti unakuja katika eneo inapoanzia.yenyewe huanzia kwenye titi.


HEBU TUANGALIE SABABU ZA UGONJWA HUU


Kwa tafiti Nyingi zilizofanywa Na taasisi kubwa ikiwemo ACA zimeorodhesha sababu zifuatazo Kama chanzo
.mionzi Kama vile x rays
.vidonge vya uzazi
.vipandikizi
.uzee
.kutopata au kuchelewa kupata mtoto
.vyakula
.unene uliopitiliza
.pombe
.uzee
.kurithi
Na inasemekana kwa utafiti uliofanywa marekani Kati ya wanawake 8 saba hua Na kansa ya ziwa katika maisha yao


DALILI ZA UGONJWA HUU


.uvimbe katika sehemu ya ziwa kuelekea katika kwapa.lakini kwa utafiti Kati ya wanawake kumi wente uvimbe huu Ni mmja Tu ndo Ana kansa hii
.kubadilika kwa rangi ya ziwa hasa hasa huwa Na rangi Nyekundu ivi
.vijipele vidogo vidogo visivyo vya kawaida
.maumivu katika ziwa
.kuwa Na tishu ngumu ndani ya ziwa
.kuama kwa chuchu.hapa chuchu huama eneo


JINSI YA KUPUNGUZA
.Kubadilisha mlo wetu Na kuwa mlo kamili
.inasemekana mwanamke anayenyonyesha Ni vugumu kupata kansa hii Ni kwa sababu kila vaada ya mda mfupi seli zake hujibadilisha
.na utafiti mwingine umeonyesha wanawake wanaokunywa aspirin Na inflammatory drugs nyinginezo Ni vigumu kupata
.pia Kuna sawa za kupunguza uwezekano wa kupaga kansa hii
.mazoezi ya mwili Ni muhimu Ili kupunguza uwezekano wa kansa hi



1 Comments

  1. dah ahsante sana kwa somo.na vipi kuhusu saratani nyinginezo

    ReplyDelete
Previous Post Next Post