Kuna Profesa mmoja jina lake Professor Ulrich John, wa University Medicine Greifswald, Germany ambaye amewachunguza watu 149 ambao walikuwa wakitegemea pombe katika maisha yao kama starehe yao kuu na kuona kwamba watu hao walikufa miaka 20 kabla ya wale wanaotegemea sigara katika maisha yao.
orodha ya sumu hatari katika sigara
- tar
- ammonia
- nicotine
- carbonmonoxide
- hydrogen cynide
- arsenic
- cadmium
- formaldhyde
- polonium-210
- nitrogen oxide
orodha ya viungo muhimu vya pombe japo baadhi vina athari kidogo au hamna ukifananisha na sigara
- GMO corn, rice, and sugars
- Monosodium Glutamate (MSG)
- Propylene Glycol
- Calcium Disodium EDTa
- High Fructose Corn Syrup
- Caramel Coloring, insect-based dyes, and artificial food dyes kama: FD&C Blue 1, FD&C Red 40, FD&C Yellow 5
- glyceryl monostearate and pepsin (used for foam control and head retention)
- Carrageenan
- gelatin
Lakini kiuharisia sigara ndiyo inasumu kali zaidi kuliko pombe lakini wanywa pombe hufa mapema kuliko wavuta sigara kwa nini?
Na kumbuka madhara makubwa ya sigara ni kasa ya mapafu ambayo hutokea taratibu na baada kwa kipindi kirefu ndipo huja kuua.
KWANINI WATUMIAO VILEVI WALIKUFA MAPEMA ZAIDI?
sababu kubwa zipo nyingi sana hebu tuziangazie kwanza,,,
- Kikubwa zaidi wanywa pombe huwa hawauliwi na sumu zilizo katika pombe pekee pia huuliwa na magonjwa hatari sana kama vile UKIMWI na mengineyo ambayo huwa wanayapata pale wanapotumia vilevi hivyo kupitiliza
- Wanywa pombe pia huuliwa sana na ajali kama vile za barabarani ambazo hata kwa uharisia ukiangalia nchi kama tanzania ambapo asilimia kubwa za ajali za barabarani husababishwa na ulevi
- pia pombe husababisha madhara kama ya figo kushindwa kufanya kazi ambalo ni moja kati ya vitu ghali zaidi kutibiwa na unaweza kuwa napesa na zisikusaidie kama hatatokea mtoaji
Ahsante sana kwa kusoma chapisho langu natumaini umenielewa unaweza kushare wengi wapate
Tags:
DONDOO