MADHARA 7 YANAYOTOKEA MARA KWA MARA KWA MTUMIAJI WA VIDONGE VYA KUPANGA UZAZI

Kama zilivyo stori mbali mbali juu ya madhara ya vidonge vya uzazi wa mpango ndivyo nikaamua kufanya utafiti na kuangalia vyanzo kadha wa kadha kulitambua jambo hili kwa weledi mkubwa.
Related image
Kwa utaratibu nimeamua kukuletea mpenzi msomaji hasara au madhara kumi karibu
haya chini ndio maelezo kuhusu madhara;
1.MAUMIVU YA KICHWA
Image result for headache women
Hili si jambo geni kwa wanawake wengi watumiao vidonge ivyo kwani wamekua wakiexpiriance maumivu makuu ya kichwa.
japo siwezi sema kuumwa kichwa kunasababishwa  na vidonge hivyo tu la hasha si hivyo ila inaweza kuwa sababu kuu pia
2.KUKUA KWA MATITI
Related image
huku kunasababishwa na hormoni mbali mbali kwa kwa ufahamu wa dawa hizo asilimia kubwa  zina jua kuendesha mfumo wa hormini zaidi,
Kwa hivyo hizo ndizo hormini zinazosababisha matatizo kama hayo
3.KUVURUGIKA AU KUBADILIKA KWA SIKU ZA HEDHI
hii hutokea mara kwa mara kwani vitu vyote hivyo huongozwa na hormoni ambazo ndizo hizo pia huaribu mzunguko wa hedhi kwa wanawake
4.KUTOKWA NA MAJI MAJI YASIYO YA KAWAIDA UKENI
Hii pia hutokea mara kwa mara kwa manawake wanaotumia vidonge vya uzazi japo kuwa wengine hua hawagundua na kudhani ni hali ya kawaida
5.KUPUNGUA KWA UONI WA MACHO
Mshughuliko wa homoni zizalishwazo na vidonge hivyo husababisha msito wa kimiminika kinachopatikana karibu na lenzi ya jicho hivyo jambo la kawaida kwa mwanamke atumiae kupata.japo si lazima apate.Kama unatatizo muone daktari wa macho atakua na maelezo zaidi,.
6.KUPUNGUA KWA HAMU YA TENDO LA NDOA
Hii pia hutokea kwani mambo mengi ndani ya mwili hutegemea kitu tunachokiita hormoni hata hizo hisia huusisha hormoni hivyo mwanamke atumiae dawa za uzazi nanaweza kupungukiwa hamu hiyo kwani anakuwa ameingiza hormone nyingine ndani ya mwili
7.ONGEZEKO LA UZITO 
Hili linadhaniwa kuwa badiliko lisilola kiafya kabisa kwani hutokea mara moja hiovyo kutatiza kidogo utendaji wa viungo fulani fulani

Post a Comment

Previous Post Next Post