Hizi zifuatazo ni njia rahisi na za gharama nafuu kuweka meno yako meupe
1.KUTUMIA GANDA LA NDIZI
Ganda la ndizi linalotumika ni la ndizi ya kawaida ambalo kwa mara nying watu huwa tunalitupilia mbali kama taka au uchafu.
Ganda la ndizi lina madini mhuhimu sana kama vile phosphorus.ambayo ndio huwa yanasaidia katika kuweka meno yetu sawa.
hatua za kufanya
pata ganda lako la ndizi na sehemu ya ndani ya ganda hilo ndio haswaa kuhusika na shughuli hiyo
utasugua meno yako kwa mda wa dakika mbili ivi.baada ya hapo utayaosha meno yako kwa maji safi.Kwa matokeo mazuri fanya kwa mara kadhaa
2.kutumia BAKING SODA NA JUISI YA LIMAO
Hii ni njia bora na ya matokeo ya haraka zaidi kwa kuwa mchanganganyiko wa vitu hivi una uwezo mkubwa.mambo ya kufanya
nunua limao au ndimu
nunua baking soda
HATUA
Utakata kipande cha limao utakamua katika chombo chako then utachukua nusu kijiko kidogo cha baking powder utachanganya na utatumia mchanganyiko huo kama utumia vyo dawa ya mswaki hapo hapo utaona mabadiliko
Tags:
KINYWA
somo zuri nimelipenda.nimejaribu imenisaidia hii
ReplyDelete