Mara nyingi watu wamekuwa wakitumia madawa mbali mbali ya viwandani ambayo kwa wakati mwingine huwaletea madhara ila lengo likiwa ni lile lile kujitibu ngozi zao.
SABABU HASA ZA MADOA KATIKA NGOZI NI NINI?
Sababu kubwa ya tatizo hili huwa ni uzalishaji wa melanin pigment unaozidi usawa.Sasa ni kwa nini melanin inazalishwa kwa wingi.
sababu za melanini kuzalishwa kwa wingi ni kama hizi
SIFA ZA LIMAO
Sasa jinsi kutumia limao kama dawa ni
SABABU HASA ZA MADOA KATIKA NGOZI NI NINI?
Sababu kubwa ya tatizo hili huwa ni uzalishaji wa melanin pigment unaozidi usawa.Sasa ni kwa nini melanin inazalishwa kwa wingi.
sababu za melanini kuzalishwa kwa wingi ni kama hizi
- kukaa kwenye jua mda mrefu
- kuwa na msongo wa mawazo
- matatizo ya kihomoni
- mimba
- ukosefu wa vitamin fulan
- kukosa usingizi
- na mengineyo....
SIFA ZA LIMAO
Nutrition Facts
Calories 17 |
% Daily Value* | |
- chukua limao bichi kiasi na napendekeza liwe na rangi ya kijani
- kata na kamua juisi yake iweke katika chombo safi
- chukua kitambaa safi na napendekeza kiwe kimetengenezwa kwa pamba
- chovya kidogo juisi ile ya limao na
- sugua taratibu katika eneo husika
- hii ili kupata matokeo mazuri fanya kwa wiki mbili mfululizo
- na kinga ni bora kuliko tiba jaribu kuepuka baadhi ya sababu za uzalishwaji mkubwa wa melanin.
NOTE:lazima sehemu yenye athari isafishwe vizuri kabla ya kufuata maelekezo haya