MMBA AMA FANGASI WA NGOZI,AINA NA TIBA ZAKE(Tinea versicolor)

Kama tujuavyo kundi la fangasi ni moja kati ya makundi makubwa ya viumbe hai yana faida kama vile kutumika kama chakula na dawa na yana hasara kama kutengeneza magonjwa.Japo mara nyingi magonjwa yako sio sugu sana kama ya virusi lakini naweza kusema ni sugu sana haya magonjwa.
Hebu tuangazie aina MOJAWAPO YA magonjwa yanayosababishwa na fangasi katika ngozi za binadamu.leo tuangazie huu

1.Tinea versicolor

Image result for Tinea versicolor black skin
pengine huu ndio unaowasumbua wengi zaidi.ugonjwa huu unashambulia ngozi ya mtu na kuibabua kama ionekanavyo kwenye picha ni hali inakuwa mbaya sana kama ionekanavyo.
mimea ya nyumbani kwako inaweza kukumalizia hili tatizo.kutokana na maisha ya mtanzania kuna baadhi ya vitu kama
  •  vinegar
  • ,tumeric
  •  na mafuta ya majani ya chai
 ambayo yote hayo husaidia pia lakini upatikanaji si sana mimi nakushauri utumie sana
  •  kupakaa ute wa aloe vera ambao umekuwa unafahamika sana kwa uwezo wake wa kuzuia vimelea,Na kingine nakushauri
Aloe Vera Gel
  •  kitunguu swaumu kwani nacho ukikipakaa seheme iliyoharibika kitakusaidia sana na kwa kasi.
Garlic
KWA DAWA YA DUKANI TUMIA NAKUSHAURI TUMIA KATI YA HIZI
  • Ciclopirox (Loprox, Penlac) cream, gel or shampoo
  • Fluconazole (Diflucan) tablets or oral solution
  • Itraconazole (Onmel, Sporanox) tablets, capsules or oral solution
  • Ketoconazole (Ketoconazole, Nizoral, others) cream, gel or shampoo
  • Selenium sulfide (Selsun) 2.5 percent lotion or shampoo
KAMA UNA DAWA AU MMEA ULIOKUSAIDIA WEWE TAFADHALI TOA MAONI WOTE WAPATE KUPONA KUPITIA WEWE na kama una maoni usisite pia hata kutukontakti

1 Comments

Previous Post Next Post