Jinsi ya kujitengenezea juisi ya kuondoa sumu mwilini (Healthy Juice Cleanse Recipes)

 Watu wengi wameuliza juu ya namna ya kutengeneza jusi ya kuondoa sumu mwilini, nimeeandaa chapisho hili kwa lugha mbili ili liweze kuwasaidia wasomaji wa lugha zote. Healthy Juice Cleanse Recipes

Prep Time/mda wa kutengeneza

10 mins

Healthy Juice Cleanse Recipes to give you energy, vitality, and health (Jusi hizi husafisha mwili na kukupatia afya njema).

Course: Breakfast, Snack (mda muafaka ni kutumia kama kifungua kinywa)

Cuisine: American

Keyword: juicing recipes, Matengenezo ya juisi

Ingredients

Drink Your Greens(Juisi ya kijani):

 1. 2 cups Baby Spinach Leaves (vikombe viwili vya spinach)
 2. 2 large Cucumber (Matango mawili makubwa)
 3. 1/2 Lemon (nusu limao)
 4. 2 medium Apples (matufaa mawili)
 5. 1-2 inch Ginger (Inch moja hadi mbili za tangawizi)

The Detoxifier(Kiondoa sumu):

 1. 2-3 med-lg Beets (2-3 bitiruti)
 2. 6 Carrots (karoti sita)
 3. 2 medium apples (matufaa mawili)
 4. 1/2 Lemon (nusu limao)
 5. 1-2 inch Ginger (Nusu inch ya tangawizi)

Instructions/maelekezo

 • Wash, prep, and chop produce. (Osha,andaa na katakata matunda) 
 • Add produce to juicer one at a time. (weka mchanganyiko kwenye kifaa cha kutengenezea juisi na tengeneza)

Serve cold over ice (tumia ikiwa ya baridi). May store in tightly sealed jars or glasses in the refrigerator for 7-10 days (Tunza kwenye chumbo kilichofungwa ndani ya jokofu kwa siku 7-10). Shake or stir well before drinking (tikisa vizuri kila mda kabla ya kutumia). 

Post a Comment

Previous Post Next Post