Kwa ajili afya ya mama
na mtoto ni muhimu sana, mwanamke anatakiwa apate chakula bora kilicho
na madini yote kama vitamini na protini.
Mama mjamzito anatakiwa apate gramu 100 za protini kila siku.
Ifuatayo ni mlo kamili anaotakiwa apate mama mjamzito kila siku ya
ujauzito wake kwa afya bora.
TUKO.co.ke iliweza kukundalia vyakula 10 bora ambavyo mama mjamzito na
mtoto wake wanastahili kula
1. Jamii Kunde
Mbegu za makundekunde ni sehemu muhimu ya chakula kwa mama mjamzito kwa
sababu huwa na kiwango kikubwa cha protini.
Kwa watu wasiokula nyama au wana uwezo mdogo tu kujipatia nyama mbegu za
jamii kunde zinatosheleza mahitaji ya protini.
Hivi ni vyakula vya mimea kama Soya,Peas,Karanga, Alfa alfa,Mikunde,
maharage.
2.Mayai
Mayai mawili kwa siku husaidia kuupa mwili protini, vitamini A na madini
ambayo itasaidia kuzuia kupatwa na maradhi ya magonjwa mbali mbali.
Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
3. Maziwa na vyakula vya jamii ya maziwa
Glasi nne au zaidi ya maziwa ya aina yoyote pamoja na/au vyakula vyenye
jamii ya maziwa kama jibini, mtindi na siagi.
Maziwa ni muhimu kwa protini, calcium, vitamini na virutubisho vingi.
Vitasaidia ukuaji wa mifupa na misuli,
Ni muhimu kwa damu yenye afya, kusaidia usingizi na kusawazisha mdundo
wa moyo.
4. Viazi tamu
Viazi vitamu vina vitamini A ambayo husaidia ukuaji wa macho ya
mtoto,ngozi na mifupa
5. Nyama
Nyama ya nguruwe,kuku au ngombe huwa na protini mingi sana na husaidia
katika ukuaji wa mwili wa mtoto hasa kwa mama mjamzito wa miezi minne
6. Nafaka na vyakula vya Wanga
Vyakula hivi huipa mwili nguvu ya kufanya kazi na pia ukuaji wa mtoto
tumboni.Vyakula hivi ni kama mahindi,mtama ,mihogo,vyakula vya ngano
kama mkate n.k.
7.Avocado
Ni matunda ambayo yana mafuta mengi maarufu kama fatty acid.
Avocado inasaidia katika ukuaji wa ubongo,ngozi nyororo na ukuaji wa
misuli ya mtoto tumboni.
8 .Mboga za majani
Mboga za majani kama spinach, kabeji, mchicha na matembele. Mboga hizi
zinafaa ziwe zenye rangi ya kijani iliyokolea kwa sababu hizi ndizo
zenye virutubisho vya kutosha.
Mboga hizi zitampa mama na mtoto wake Vitamin A na B, pia virutubisho
vitakavyosaidia mwili kupata protini ya kutosha, ukuaji wa mwili, na
utengenezaji wa damu.
Kutopata mboga za kutosha kunaweza sababisha mama kupata ugonjwa wa
Anemia.
9. Mafuta ya samaki
Mafuta ya maini ya samaki huwa na Omega fatty acids ambayo inasaidia
ukuaji wa ubongo na macho ya mtoto.
10.Maji
Maji ni muhimu kwa mwili kwa sababu inasaidia kwenye mmenyenyo na
unyonywaji chakula na pia husaidia kuzia choo ngumu
Maji pia huzuia uvimbe wa mwili na maambukizi ya mfumo wa mkojo(UTI)
Read more: https://kiswahili.tuko.co.ke/266713-vyakula-10-bora-ambavyo-mama-mjamzito-anastahili-kula.html#266713