Tiba ya kupandikizwa kinyesi cha mtu kwa mtu mwingine

fecal-transplant.jpg

Litaonekana kama jambo la ajabu kwa waliowengi isipokuwa kwa wanasayansi kutoka CANADA.Wana sayansi hawa wamegundua tiba ya kupandikiza kinyesi cha mtu mmja kwenda kwa mwingine kama vile mtu awezavyo kupandikizwa moyo, figo na viungo vingine kama njia tu ya kuepukana na bacteria C. difficile anayesababisha vifo zaidi ya 15,00 kila mwaka.
Si kwamba kinyesi hicho kinachopandikizwa ndio huua bakteria huyo la hasha bali kinyesi hicho huchangia bakteria wazuri katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakulaambao watasaidia kumuondoa bacteria C. difficile kwenye mfumo huo na mgonjwa kupona.

Post a Comment

Previous Post Next Post