Jamii inapaswa inatambue ya kwamba vidonda vya tumbo husababishwa na mwenendo wa maisha yetu. Hivo jamii inapaswa kubadiri mwenendo wa maisha ili kuepukana na vidonda vya tumbo.
Mfano jamii inapaswa kuepukana na utumiaji wa vinyaji kama vile pombe kali zinazoweza pelekea uharibifu wa ukuta wa tumbo. Kuepuka kutumia vyakula vyenye viungo vingi vinavyoweza kusababisha asidi kuzalishwa kwa wingi.

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
1.Maumivu makali juu na pembeni mwa tumbo.
2.Tumbo kujaa gesi.
3. Kichefu chefu
4. Kupatwa na njaa kali hasa mida ya saa kumi na moja mapema kabla ya kuamka.