Kitaalamu uchunguzi unaonyesha baadhi ya matunda yana umuhimu mkubwa sana kwa mama mjamzito,kutokana na mchanganyiko wa asili katika matunda haya ambao unachangia ukuaji bora wa mimba.
HII NI ORODHA YA MATUNDA HAYO
1. Apricots(FYULISI)
vitamins A, C, and E
calcium
iron
potassium
beta carotene
phosphorus
silicon
Mchanganyiko huu unasaidia ukuaji wa mtoto
2. Oranges(machungwa)
imesheheni;
folate
vitamin C
water
inasahidia kuwa hydrated na unyonywaji wa madini chuma
folate inasaidia mfumo wa neva.
3. Mangoes(maembe)
imesheheni vitamins A and C.
4. Pears(peazi)
ina vitu vingi:
fiber
potassium
folate
5. Pomegranates(komamanga)
vitamin K
calcium
folate
iron
protein
fiber
kitu cha upekee hapa ni kwamba linanusuru matatizo yanayoweza tokea kwenye placenta
6. Avocados(parachichi)
Avocados are an excellent source of:
vitamins C, E, and K
monounsaturated fatty acids
fiber
B vitamins
potassium
copper
7. Guava(pera)
Papaya fruit
Guava contains vitamin E and folate, making it an ideal fruit to eat during pregnancy.
vitamins C and E
polyphenols
carotenoids
isoflavonoids
folate
8. Bananas(ndizi)
Bananas contain high levels of:
vitamin C
potassium
vitamin B-6
fiber
inaweza saidia kutapika na kizunguzungu.
9. Grapes
vitamins C and K
folate
antioxidants
fiber
organic acids
pectin
inaboost kinga za mwili.
10. Berries
Berries are a good source of:
vitamin C
healthy carbohydrates
antioxidants
fiber
11. Apples(tufaa)
vitamins A and C
fiber
potassium
12. Dried Fruit
The following nutrients occur in dried fruit:
fiber
vitamins and minerals
energy
Kisukari kwa wajawazito