Njia za kukuza nywele kwa kasi

Image result for long black natural african hair
Kila baada ya siku nne uwe na utaratibu wa kupakaa mchanganyiko wa hina na mayai, iwe na paste nzito kiasi, upake katika mizizi ya nywele, ukimaliza kupaka nywele zifunike kwa mfuko maalum ili zipate joto kwa muda wa masaa mawili,
tumia chumvi kwenye ngozi

tumia chumvi kwenye ngozi


Habari, Leo katika urembo tunakuletea namna ya kufanya scrub kwa kutumia chumvi na maji ya baridi na kuonekana wa kisasa zaidi. Utumiaji...
Soma Zaidi


Baada ya hapo zioshe kwa maji na shampoo, lakini maji yawe ya baridi yasiwe ya motooo au vuguvugu, yani yawe maji ya kawaida. Baada ya kuziosha zikaushe kwa taulo

NB: Nywele hazichanwi zikiwa na maji zimerowa kwani zitasababisha kung'oka kwa nywele na kusababisha upunguf wa nywele. Nywele zikishakauka. Paka mafuta ya nazi, au your favourate muhimu upake katika mizizi ya kichwa.

Na wakati unapaka mafuta kichwani kichwa kiinamishe chini, kiangalie chini ndio upake mafuta kichwa chako husaidia msukumo wa damu kufikia katika kichwa vizuri na kupata stimulation kwa kutumia ncha za vidole huku ukifanya massage kichwa taratibu kwa mda wa dakika tano, ukimaliza anza kuzichana taratibuu mpaka zilainike na uzibane.
Faida za ukwaju kwenye ngozi



NB: Jaribu kwa siku uchane nywele mara mbili asbuh na jion, na nywele muda wote ziwe zenye mafuta. jizoeshe kufanyia massage kichwa chako kila wakati unaopaka mafuta kichwani.

Uhai wa nywele ni mafuta kama ilivyo uhai wa binadamu utakuepo iwapo kuna maji.

Post a Comment

Previous Post Next Post