vitu unavyotakiwa kufanya ukiwa hedhi


heels6
Huwa kila mwanamke period yake inakuja na mambo kibao ambayo mengi ni undesired mfano kuumwa tumbo,mgongo wengine wanatapika au kuumwa kichwa hadi kizunguzungu wengine wanapata.Yani huwa mood ina shift kabisa na sababu ya hormones nazo zinachange mtu unakuwa very sensitive hii ni issue ambayo kila mwezi mtu inabidi u put up with.
Wengi during the menstrual cycle inakuwa ngumu ku focus sasa inaweza ikawaletea wengine hard time kwenye kufanya vitu kama mitihani au ku organize meetings ambazo ni important au hata ku run errands tu, sababu wengi inatokea mtu unataka tu kulala the whole day au kutokutoka kabisa which ina effect kazi na mambo mengine.
Period pia inasababisha a lot of cramps inafanya usiwe na raha ,both physically and emotionally unakuwa hauko sawa ,huwa sometime hata kuamka kutoka kitandani inakuwa ni a struggle.
Video hii itakusaidia kujua vitu gani unaweza kufanya na vya ku avoid pia ukiwa kwenye period .
In summary tu Vitu ambavyo hutakiwi kufanya ni kama
Moja ni kulala bila Pad ,usilale bila a comfortable pad wengine wanahisi kwakuwa wamelalal basi hawata bleed ndugu utachafua shuka lako hadi ushangae dont even think about this.
Mbili Kuvaa pad moja kwa siku nzima hii ni a no no no ,badili pad kwa usafi wako mwenyewe ,kuvaa pad moja siku nzima kuta attract bacteria ambao wataproduce harufu mbaya na kukusababishia kupata rushes .
Tatu  staying up all night ,no wataalamu wa mambo wanasema ukiwa period utajisikia vizuri zaidi kama utaenda kulala
Check out other kwenye Video.menstrual

Post a Comment

Previous Post Next Post