Ni mkasa wa kusisimua na kuogofya pale mtoto wa miaka 12 huko maryland marekani alipokumbwa na ajali mbaya wakati wa kujenga nyumba juu ya mti.
x-ray iliyopigwa hospitalini |
Kwa jina la DARIUS FOREMEN Ndiyo hasa kijana aliyehusika na mkasa wa kusikitisha.
X-ray iliyopigwa kutoka hospitali maarufu ya taasisi ya Johnhopkins ndiyo iliyoonyesha sehehmu ya msumari huo ukiwa umezama ndani ya fuvu.
daktari wake wa upasuaji Dr. Alan Cohen.alisema "mtoto huyu amenusurika na kifo kwani angeweza vuja damu nyingi sana kwenye ubongo" (imetafsiriwa na mhariri wetu)