MAGONJWA HATARI ZAIDI DUNIANI(2018)

Haya ndiyo tano bora ya magonjwa hatari zaidi duniani yanayoenezwa na wadudu(vimelea)
1. UKIMWI kutoka 1981 hadi sasa
aids
UKIMWI huathiri zaidi chembe hai nyeupe za damu ambazo ndio huusika zaidi na ulinzi wa mwili wa binadamu

2. Mafua; vifo 36,000 kila mwaka
influenza
Japo kwa waswahili ni gonjwa la kawaida kabisa lakini kiuharisia kwa wenzetu ni moja kati ya magonjwa hatari.Lina sababishwa na influenza virus.

3. Spanish Flu(mafua ya hispania), 1918-19; vifo milioni 100 
spanish_flu
Mafua haya yalitokea kwa kipindikifupi tu lakini yalisababisha madhara makubwa sana 1918 yaliitwa kama 5 flu pandemic na yalisababishwa na  flu virus strain A ambaye alikuwa na subtype H1N1.

4. Bubonic Plague; vifo milioni 250 
bubonic-plague
mlipuko huu wa magonjwa ulisababishwa na nzi na mende na wadudu wengineo ambao walikua wameathiriwana Xenopsylla cheopsis. watu waliupata kutoka kwa hao wadudu

5. Malaria; vifo  milion 2.7 kila mwaka
malaria
Malaria ni ugonjwa unaosambazwa na mbu ( vector-borne) waliobeba wadudu. wadudud hao ni protozoa. ni ugonjwa wa kawaida ndani ya sub-tropics na tropical regions kama AFRICA MASHARIKI

Post a Comment

Previous Post Next Post