ugonjwa uliomuua SPIKA SAMUEL SITTA

Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa, Samuel Sitta
Ni mda sasa umepita tangu mheshimiwa spika mstaafu atutoke lakin je wajua ni nini kilimuondoa.Nimependa kuleta chapisho kama hili ili kuwakumbusha watu namna ugonjwa huu unavyokuwa hatari usipogundulika kwa haraka
Ugonjwa huo ni saratani ya tezi dume kulingana na vyanzo mbali mbali
soma zaidi kuhusu dalili na visababishi vya saratani hii hapa
Na kama una kumbukumbu nzuri huu ndio ugonjwa pia aliougua raisi mstaafu awamu ya nne akiwa madaraakani na hadi kwenda kufanyiwa upasuaji marekani kwa habari zaidi hapa
Wanaume wengi huwa wana uoga wa kupima saratanii hii kutokana na kwamba saratani hii ina kipimo fulani ambacho wanaume huwa hawakitaki kabisa ambacho huusisha tundu la haja habari njema ni kwamba kuna kipimo kipya kimekuja cha kutumia kidonge ama harufu tu soma zaidi kuhusu hicho kipimo hapa

Post a Comment

Previous Post Next Post