Kwa kawaida watu wamekuwa wakidharau kujikinga na magonjwa ambayo hayaambukizwi na wadudu huku wakisahau magonjwa hayo ndi magonjwa hatari zaidi katika maisha ya kiumbe yoyote aishiye ari kadhalika mwanadamu ambaye ndio malenga yetu makubwa katika chapisho hili.
Nimefanya utafiti kutoka vyanzo mbali mbali vya kuaminika ikiwepo ADA(American Diabetes Association) na kugundua mengi sana kuhusiana na kisukari
Nakwenda kunukuu maneno fulani ya
- Kelly Kennedy, RD
alisema ivyo kutokana na kwamba watu hupenda kula matungda bila kuongeza chochote lakini wakitengeneza juisi sijui ni nini huwakumba na wanajikuta wakiongeza sukari
- matunda huondoa uwezekano wa mtu kupata kisukari lakini juisi ya matunda iliyotengenezwa inaongeza uwezekano waa kisukari
HAYA NDIYO MATUNDA NANE YENYE NGUVU ZAIDI KUZUIA KISUKARI
- berrys(blue,straw,rasp etc)
- tufaa(apple)>vitamins
- peazi(pears)>vitamin k and fibers
- kiwi
- mafyulisi(apricot)>fibers
- machungwa>vitamin c
- peaches>potassium
Tags:
KISUKARI