MZUNGUKO WA HEDHI.

MUNGUKO WA HEDHI

 Ni mzunguko katika mfumo wa uzazi wa mwanamke ambao unahusishwa na kuachiliwa kwa yai kwa ajili ya urutubishwaji.
 Hedhi huweza kua ni jambo jema kwa wanaolifahamu na kulielewa na kuwa baya kuliko kawaida kwa wasiolielewa na wakadhani wanalielewa.
uachiwaji wa yai kutoka katika ovari huambatana na mazingira fulani katika mwili wa mwanamke na hayo ndiyo tutayazungumzia haswa
 Kwa baadhi ya wanaoielewa hedhi huwasaidia hata kupanga uzazi na vingine kama kuepuka mimba zisizo na ulazima
Hedhi ina hatua zake ambazo sitaweza kuzitaja katika chapisho hili ila nitataja jinsi ya kuwa na mazingira sahihi kwa wakati wa hedhi
MFUMO WA HEDHI
Hedhi ipo katika mfumo ambao wanawake wanatofautiana siku ila kwa kawaida na wastani wenhuwa na siku 28.siku huanza kuhesabiwa anapoingia hedhi

 MGAWANYO WA SIKU

  1. SIKU ya kwanza hadi ya saba au karibu na hapo ni siku za hedhi ambazo pia mwanamke hawezi kushika mimba na anakuwa anatokwa na uchafu na damu
  2. siku ya nane 8 hadi ya 19 ni siku ambazo mwanamke anauwezo wa kushika mimba kabisa
  3. siku ya20 hadi ya {kati ya 26-32 kutokana na mtu}ni siku ambazo mwanamke hana uwezo wa kushika mimba

 VYAKULA VIFAAVYO WAKATI WA HEDHI

  1. Mboga mboga za mzjani kwa ajili ya kujaza damu iliyopotea
  2. matunda matunda kwa ajili ya madini
  3. nafaka isiyokobolewa kwa ajili ya nguvu
  4. nyama nyekundu ili kuongeza madini chuma uliyopoteza mwilini
matunda haya hapa

toleo lijalo tutaongelea jinsi ya kuondoa maumivu wakati wa hedhi


Post a Comment

Previous Post Next Post