RWANDA yaanzaisha huduma ya kutungisha mimba maabara

Rwanda imeanzisha Maabara kubwa na ya kisasa ambayo inatumia teknolojia ya kutungisha mimba. Serikali ya Rwanda imesema kwamba tangu kuanzishwa mpango huo wa kusaidia waliokosa uzazi,gharama na idadi ya wanaokwenda kujaribu kupata uzazi katika nchi zilizoendelea imepungua, Rwanda sasa ina hospitali tatu zinazoweza kutoa huduma hiyo. play video chini hapo

Post a Comment

Previous Post Next Post