PUNGUZA UZITO KWA CHAKULA MAALUM

Tumejifunza jinsi ya kula chakula kizuri chenye virubisho kwa ajili ya kupunguza uzito wako. Vyakula hivi ni zile vyenye rangi nyekundu, kijani, na njano zinauwezo mkubwa sana wa kupunguza uzito. Pia nyama na kuku wa kubanika wenye mchanganyiko wa virutubisho vya vitamini c yaani ndimu na rimau.
Leo tuangalie jinsi ya kutengeneza chakula chako.
Usafi.Kitu cha kwanza ni usafi. Usafi ni muhimu sana katika utengenezaji wa chakula. Chakula kisipotengenezwa kwenye usafi ni rahisi kuungua na kupelekea hela nyingi katika matibabu.
Ikumbwe kuwa ni vizuri mtengenezaji akaa glovu wakati wa utengenezaji kwa kuwa jasho la mkononi linafanya mmengenyo wa chakula kuanza kabla hakijaliwa.
Wingi wa utengenezaji. Vyakula vya kupunguza uzito vitengenezwe katika uchache kwa kuwa sehemu kubwa ni mboga mboga zilikuwa tayari toka sokoni. ZIsafishwe vizuri kwa kutumia vyombo visafi.
Kuhifadhi vyakula vya kupunguza uzito kwa muda mfupi ni muhimu ili kuwahi kukitumia.
Bacteria na viumbe vingine: Hewa yetu imejaa bacteria na viumbe mbalimbali wasionekana kwa macho ambao wengi wao ni rafiki kwa afya zetu. Licha ya kuwa viumbe wengi wao ni rafiki ni vizuri chakula hicho kikafunikwa kwa karatasi laini ya plastic ili kuzuia uingiaji kwa wingi ndani ya chakula chetu maalum kwa ajili ya kupunguza uzito. Baadhi ya viumbe hivi vinachangia mmengenyo wa chakula na kuongezea uzito.
Nini cha kufanya:
  • Kula chakula kwenye migahawa ambayo wanatengeneza chakula kwa order maalum kwani hawachanganyi vyakula na hawapiki kwa wingi,
download (3)
    Maji
  • Kula chakula chako ndani ya muda mfupi ili kujikinga na viumbe vya hewani;
  • Kula chakula kutokana na portion maalum. Katika migahawa maalum wanauza chakula kwa portion. Ukishindwa kumudu bei hizo wasiliana na simu hapo juu uletewe portion yako ya chakula;
  • Fuata mpangilio maalum wa chakula kwa wakati wote kuanzia jumatatu hadi Ijumaa. Kula kawaida siku za jumamosi na jumapili yaani kujiachia . Kupata hii ratiba ya chakula tembelea posts za mwanzo za blog hii. Ni vigumu kupata mpangilio kwenye migahawa basi angizia chakula kwa namba hapo juu kwa kuwa tutafungua akaunti yako na ratiba nzima ya chakula ili upungue ndani ya muda mfupi.

Post a Comment

Previous Post Next Post