King majuto afariki inasemekana chanzo ni saratani ya tezi dume

king majuto ni muigizaji maarufu wa vichekesho nchini Tanzania.Alikua akiugua saratani ya tezi dume ambao ndio ugonjwa waliougua watu wengi maarufu nchini kwetu ikiwemo raisi mstaafu mheshimiwa drJk Kikwete.
 SARATANI YA TEZI DUME
 Tunaweza kusema ndiyo saratani inayowapata wanaume wengi zaidi ukiachana na saratani ya ngozi.
 Kwanza kwa kuangazia tezi dume yenyewe maarufu kama prostate gland inapatikana katika mfumo wa uzalishaji wa mwanaume huku kazi yake kubwa ni kuzalisha ute ambao una rangi ya maziwa ivi kwa ajili ya kusaidia usafilishaji wa mbegu za kiume

 JE NI VIPI MTU ANAPATA SARATANI YA TEZI DUME
 Kwa maisha ya sasa visababishi ni vingi vikiwemo
 =ulaji mbovu
 =ngono zembe
 =urithi nao unazungumziwa kuchangia
 =shinikizo la mawazo nalo limehusishwa
 =kutolala usingizi wa kutosha
 =hata mabadiliko katika vinasaba
 =uvutaji sigara
 =na inadaiwa hata rangi nyeusi pia ina upungufu wa vitamin d hivyo ni rahisi zaidi kupata
 =umri na mengine mengi yanachangia

DALILI ZA MTU KUWA NA SARATANI YA TEZI DUME
=kuwa na shida au maumivu wakati wa kukojoa
 =kukojoa mara kwa mara hasa usiku
 =kuhisi hata ukukojoa mkojo haujaisha katika kibofu
 =kukojoa mkojo unaotoka kwa spidi ndogo
 =maumivu ya mifupa
 =mkojo kuchanganyika na damu
               JINSI YA KUJILINDA NA SARATANI YA TEZI DUME
=====upande wa tabia======
 =Kuacha uvutaji wa sigala
 =kuwa na mlo kamili kila mara na ratiba nyoofu
 =kuepuka ngono zembe
 =kuepuka msongo wa mawazo
====upande wa matunda========


kuna baadhi ya matunda kama yaliyo hapo chini yana uwezo wa kukuepusha
  chati fupi kwa baadhi ya matunda

 =ndizi
 =maboga
 =nyanya
 =chai
 =tangawizi
 =uyoga
 =mboga mboga
 =hata mwanga wa jua kwa ajili ya vitamini d

TANGAWIZI

KOMAMANGA
 KOMAMANGA LINAELEZWA KUWA  na uwezo mkubwa kwa saratani ya tezi dume

nyanya

KWA KAWAIDA KIUTAALAMU
SARATANI  HII HUTIBIWAKWA upasuaji wa kitaalam
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.AMEN

Post a Comment

Previous Post Next Post