sababu ya mtoto kupoteza hamu ya kula na jinsi ya kuzuia.

Appetite In Toddlers and Children Images
Ni kwa mara nyingi watoto huingiwa na tatizo la kukosa hamu ya kula huku wazazi wao hasa mama akiwa analalama kuhusu swala hili la mtoto wake kukosa hamu ya kula.Wengi wa wazazi huisi hii ni tabia na sio tatizo. hebu tuangazie hayo

HIZI NI SABABU ZINAZOWEZA SABABISHA MTOTO KUKOSA HAMU YA KULA

  1. Udumavu katika ukuaji, yaaniukuaji mdogo wa mtoto kutokana either na vichocheo kuwa vidogo au la inaweza kuathiri moja kwa moja hamu ya kula
  2. Ugonjwa wa minyoo ya tumbo, hii husababishwa na mtoto kujiona amejaa tumbo na haitaji kabisa kuongeza chakula
  3. Baadhi ya dawa, ni kwa sababu baadhi ya dawa huondoa hamu ya kula
  4. haja ngumu (constipation). pia husababisha mtoto kukosa hamu ya kula
  5. ugonjwa wa kupungukiwa damu pia husababisha mtoto kuwa na hamu ndogo ya kula. kwa maana ya kwamba mtoto huwa dhaifu sana.
  6. Msongo wa mawazo
  7. mfadhaiko

JINSI YA KUMSAIDIA MTOTO ALIYEKOSA HAMU

  1. kumpatia dozi ya minyoo mtoto kila baaadA ya miezi mitatu.
  2. kumuepusha mtoto na mifadhaiko
  3. kumuepusha na mtoto na msongo wa mawazo
  4. pia kumpima anaemia mtoto na kumuanzishia dozi mapema iwezekanavyo
  5. kumpa chakula cha kulainisha mmeng'enyo wa chakula

Post a Comment

Previous Post Next Post