jinsia mbili |
Musabu, (si jina halisi), ambaye alizaliwa na maumbile tata, yaani mwenye jindi mbili ya kike na kiume na mwenye ashki za kike, amekua akiwa na jinsia hizo mbili ingawa alitambulika kama mwanaume katika jamii ya waislamu waishio kaskazini mwa Nigeria,.
Ijapokuwa nilizaliwa na jinsi mbili, nilipewa jina la kiume na nimekua katika makuzi na vijana wenzangu wa kiume, Musbahu ameyasema hayo wakati wa mazungumzo yake na idhaa BBC Hausa.
Musbahu kwa sasa ana umri wa miaka ishirini na minne, amesema kwamba maisha yake yamekuwa katika wakati mgumu, hasa alipokuwa na umri wa miaka kumi, wakati alipokuwa akiungia ujana , mabadiliko mwilini na matiti kuchomoza.
Bwana huyo ambaye bado anatamani kutojulikana, amesema kwamba alitamani kujiua wakati fulani maishani mwake na kwamba aliona huo ndiyo uamuzi mwafaka, na kuiambia BBC kuwa wazazi wake walimzuia kutekeleza azma yake.
Kwa muujibu wa daktari Dr Anas Yahaya, anayefanya kazi katika chuo kikuu cha Bayero kilichoko Kano, anasema kwamba miongoni mwa watoto elfu mbili wanaozali yupo mtoto mmoja mwenye jinsi mbili wanaozaliwa katika hospitali ya wataalamu wabobevu wa afya ya Murtala Muhammad iliyoko mji wa kaskazini wa Kano, maana yake wana kitu kijulikanacho kama ugonjwa wa maendeleo ya ngono.
Ugonjwa wa maendeleo ya ngono unaweza kutibiwa ama kuponywa kwa tiba ya homoni,pili kwa njia ya msaada wa kisaikolojia na wakati mwingine upasuaji.
Na ikiwa upasuaji ndiyo njia inayopendekezwa, Daktari Anas anasema kwamba unapaswa kusitishwa mpaka wakati wa balehe ili kumbaini muhusika ni wa mrengo gani.
Kwa namna hiyo inawasaidia wataalamu wa afya, kung'amua kuwa mtu huyo ana egemea upande wa jindi ya ke ama me na hiyo itarahisisha upasuaji.
Hata hivyo , njia ya matibabu kwa mtu wa jinsi hiyo kimatibabu unaweza kuwa na gharama kubwa kwa baadhi ya familia .
Musabu, (si jina halisi), ambaye alizaliwa na maumbile tata, yaani mwenye jindi mbili ya kike na kiume na mwenye ashki za kike, amekua akiwa na jinsia hizo mbili ingawa alitambulika kama mwanaume katika jamii ya waislamu waishio kaskazini mwa Nigeria,.
Ijapokuwa nilizaliwa na jinsi mbili, nilipewa jina la kiume na nimekua katika makuzi na vijana wenzangu wa kiume, Musbahu ameyasema hayo wakati wa mazungumzo yake na idhaa BBC Hausa.
Musbahu kwa sasa ana umri wa miaka ishirini na minne, amesema kwamba maisha yake yamekuwa katika wakati mgumu, hasa alipokuwa na umri wa miaka kumi, wakati alipokuwa akiungia ujana , mabadiliko mwilini na matiti kuchomoza
Bwana huyo ambaye bado anatamani kutojulikana, amesema kwamba alitamani kujiua wakati fulani maishani mwake na kwamba aliona huo ndiyo uamuzi mwafaka, na kuiambia BBC kuwa wazazi wake walimzuia kutekeleza azma yake.
Kwa muujibu wa daktari Dr Anas Yahaya, anayefanya kazi katika chuo kikuu cha Bayero kilichoko Kano, anasema kwamba miongoni mwa watoto elfu mbili wanaozali yupo mtoto mmoja mwenye jinsi mbili wanaozaliwa katika hospitali ya wataalamu wabobevu wa afya ya Murtala Muhammad iliyoko mji wa kaskazini wa Kano, maana yake wana kitu kijulikanacho kama ugonjwa wa maendeleo ya ngono.
Ugonjwa wa maendeleo ya ngono unaweza kutibiwa ama kuponywa kwa tiba ya homoni,pili kwa njia ya msaada wa kisaikolojia na wakati mwingine upasuaji.
Na ikiwa upasuaji ndiyo njia inayopendekezwa, Daktari Anas anasema kwamba unapaswa kusitishwa mpaka wakati wa balehe ili kumbaini muhusika ni wa mrengo gani.
Kwa namna hiyo inawasaidia wataalamu wa afya, kung'amua kuwa mtu huyo ana egemea upande wa jindi ya ke ama me na hiyo itarahisisha upasuaji.
Hata hivyo , njia ya matibabu kwa mtu wa jinsi hiyo kimatibabu unaweza kuwa na gharama kubwa kwa baadhi ya familia .
Daktari anafafanua kuwa "Kwa bahati mbaya [watu wengi] wenye hali hiyo hawawezi kumudu gharama za upasuaji unakadiriwa kuwa Naira 250,ooo sawa na dola 695 ama paundi 515.
Tags:
TAARIFA ZA KIAFYA