ukweli kuhusu bakteria kwenye soseji za kutoka afrika kusini na mdhara yake

Ni wiki kadhaa zimepita tangu nchi nyingi Afrika kupitisha mpango wa kukataa soseji kutoka afrika kusini kwa kudai zina bakteria aina ya listeria.vyombo vya habari vikubwa ikiwemo DW VILITOA RIPOTI ZAO kuhusu swala hilo

"Mamlaka ya chakula na dawa nchini Tanzania -TFDA imesema itajiunga na mataifa mengine Kusini mwa Afrika kuzuia uingizwaji wa nyama ya kusindika kutoka nchini Afrika Kusini, zilizobainika kuwa na bakteria aina ya Listeria. Takriban 180 nchini Afrika Kusini tangu 2017. Meneja Uhusiano wa TFDA, Gaudensia Simwanza amezungumza." tayari nchi kama  KENYA,ZAMBIA,MALAWI,BOTSWANA,ZIMBABWE,SWAZILANDI na MSUMBIJI zimepiga marufuku.
soma pia

hebu tumuangalie huyu baktreriaanaedaiwa kuwepo katika soseji izo
Listeria monocytogenes ni spishi ya viumbe ambao wana asili ya kueneza magonjwa ambao walipewa jina kutoka kwa mtaalamu wa sayansi viumbe John Lister
Listeria monocytogenes
Listeria monocytogenes PHIL 2287 lores.jpg
Scanning electron micrograph of Listeria monocytogenes.
uchambuzi wa kisayansi
Domain:Bacteria
Kingdom:Eubacteria
Phylum:Firmicutes
Class:Bacilli
Order:Bacillales
Family:Listeriaceae
Genus:Listeria
Species:L. monocytogenes
majina mawili
Listeria monocytogenes
(E. Murray et al. 1926) Pirie 1940

ingawa haijaelezwa wazi ni kiumbe gani katika kundi hili ndio haswa yupo katika soseji hizo hatutaingia kiundani sana kuhusiana na kiumbe huyu lakini ukweli ni kwamba kiumbe huyu ana madhara makubwa kuliko hata magonjwa yanayofahamika sana hapa duniani yanayoenezwa na wadudu kama Salmonella na Clostridium botulinum.

NJIA ZA UENEZWAJI

Kiumbe huyu huenezwa haswaaaa kwa njia ya chakula kwani huwa anaambatana na chakula mara kwa mara.na kama ilivyo kwa bakteria wengi waenezao magonjwa ya mfumo wa chakula huwa wanauwezo wa kuishi kwa kutegemea kabon dioksaidi

MADHARA YA LISTERIA


  • kuharisha 
  • homa kali(kuongezeka kwa mapigo ya moyo,joto na mwili kuwa dhaifu)
  • maambukizi ya mfumo wa uzazi na utoaji wa mimba
  • kwa sababu ni gram positive organism anaweza kuwa na lipopolysaccharide ambayo inaweza kuwa sumu kwa mwanadamu
  • anaweza kusababisha dalili kama za mafua
  • inaweza pia kuathiri hata ubongo kwa kusababisha meningitis(kuharibika kwa membrane za ubongo)


Post a Comment

Previous Post Next Post