UJUE UGONJWA WA UVIMBE KINYWE KIZAZI(FIBROIDS) PAMOJA NA TIBA YAKE

Image result for Fibroid
Fibroid ni nini?

Siku hizi kuna ongezeko kubwa sana la huu ugonjwa hebu tega sikio.
Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.

Kuna aina kuuzifuatazo za fibroids:


1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)
2.intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)
3. Subserosal(nje ya kizaz)



Watu wafuatao wako hatarini ya kupata ugonjwa huu fibroids


1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa
2.miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma
3.kurithi 4.unene 5.kuingia hedhi mapema


Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu waga unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto.
Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids au kitaalam leomyoma.


Dalili za fibroids


1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.

2.kutokwa na uchafu wenye kiaharufu mbaya au ambao hauna harufu lkn mwingi na mweupe.
3.maumivi ya kiuno hasa wakati wa hedthi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana.
4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.


Uvimbe unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo.


1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo 

2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo
3.Haja kuwa ngumu
4.miguu kuvimba
5.kupungukiwa damu


Jinsi fibroids zinavyoweza kuzuia kupata mtoto:


1.Fibriods zikikua sana zinakandamiza mishipa ya kupitisha mayai kutoka kwenye kiwanda yan ovari

2.Uvimbe pia unazuia yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye kizazi..hasa submucosal fibroids
3.Pia husuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai.


MATIBABU


1.Wanawake wengi wanafibroids ndogo ndogo lakini kwa sababu hazina dalili hahawezi kwenda hospitali na hawa ndo sku wakibeba ujauzito uvimbe unaongexeka coz ya vichocheo kuongezeka hvyo hawa watu tunawabaini tunapofanya ultrasoudi ndipo wanakutwa navyo.lkn kitaamu hospitali hawatibu uvimbe wa namna hii


2.Uvimbe ambao ni mkubwa wenyewe hutibiwa kwa namna zifuatazo (hospital)


A.Dawa ambazo ni gharama sana mfano donazol wengi masikini hawawez kumudu kununua

B.Vidonge vya maumivu


C.Vidonge vya kuzuia damu km tranexamic acid na dawa za uzazi wa mpango(COCs)


2.Njia ya pili ni operation nazo zipo operation aina nyingi inategemea na uvimbe ukubwa na wingi wake.

1.Myomectomy hii ni operation ya kuondoa uvimbe mmoja mmoja bila kuondoa kizazi kwa wale wenye uvimbe mmoja uko sehemu nzuri
2.Total abdominal hysterectomy. Hii operation unaondoa kizazi chote kama uvimbe umekaa vibaya na viko vingi.
Swali la kujiuliza kwa nini mpaka upate dalili ndo utaanza kushughulikiwa kutibiwa???? Kwa nini ubebe ujauzito huku una uvimbe kisa bado mdogo???
Kumbuka uvimbe huu sio kansa hvyo ondoa hofu. Mbali na donazole ambayo ni ya gharama na haishauliwi itumiwe kwa mda mrefu ina sababisha mwanamke anakua na sifa za kiume.
Sasa suluhisho lako lipo tuna dawa ambao imetengenezwa na Neptunus company ltd viwanda vya madawa vikubwa duniani vya madawa.
Utapata suluhisho lako bila madhara kwani ni 100% naturally mimea ambayo imefanyiwa research na madaktar bingwa na mafamasia.


Hii dawa inapunguza uvimbe wa fibroid bila madhara kama donazol. Kama una ndugu au rafiki mwambie suluhisho lipo na mshilikishe kuokoa afya yake.

source bustani ya habari

Post a Comment

Previous Post Next Post